Mwigulu nchemba biography template



Short biography template...

Mwigulu Nchemba

Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasaMtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM ambaye amekuwa waziri wa fedha na mipango tangu 31 Machi 2021.

Mwigulu nchemba biography template

  • Biography template free
  • Short biography template
  • Free printable biography template
  • Biography template for professionals
  • Alisoma uchumi kwenye Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam alipohitimu shahada ya uzamili kwenye mwaka 2006.

    Amechaguliwa kuwa mbunge wa IrambaMagharibi mwaka 2010 akarudishwa bungeni kwa miaka 2015 – 2020. [1] Mwaka 2015 alikuwa makamu wa waziri ya fedha.

    Baada ya uchaguzi wa 2015 aliteuliwa kuwa waziri wa kilimo, ila mwaka 2016 alibadilishwa kuwa waziri wa mambo ya ndani.

    Mwaka 2018 aliondolewa katika nafasi hiyo na raisJohn Magufuli aliyetaja kasoro katika wizara yake kama vile ulaji rushwa, matumizi mabaya ya fedha na kuongezeka kwa ajalibarabarani ilhali mhusika haonekani[2].

    Rais alitaja mkataba wa Lugumi ambako polisi ilipata hasara ya Tshbilioni 30, kashfa ya mkataba kwa vifaa vibovu kwenye idara ya NIDA, uigizaji wa magari na malori 700 kwa polisi, mkataba usio halali kwa sar